Chatbot ya AI, matangazo ya Meta, na CRM — yote kwenye platform moja rahisi. Tumia namba yako ya WhatsApp ileile. Designed for biashara za Tanzania.
Hakuna malipo ya kuanza • Hakuna kadi
Platform moja yenye vifaa vyote vya kusimamia biashara yako kupitia WhatsApp
Chatbot ya AI inayoelewa Kiswahili na Kiingereza. Inajibu wateja wako saa 24, inachukua orders, na inatuma bei — yote kwa akili.
Tengeneza matangazo ya Facebook na Instagram kwa hatua 3 tu. Click-to-WhatsApp ads — wateja wana-click wanaingia moja kwa moja kwenye chat yako.
Save wateja wako automatically, fuatilia mazungumzo, weka tags, na usimamie pipeline ya mauzo — yote kwa urahisi.
Namba yako ya WhatsApp ileile — hakuna kubadili namba
AI Smart kwa plans zote — chatbot inayoelewa Kiswahili
Malipo kwa M-Pesa — rahisi na salama
Anza dakika 5 — jisajili, unganisha WhatsApp, tayari!
Jaribu bure kwa siku 14. Baadaye chagua plan inayokufaa.
Kwa biashara ndogo zinazoanza
Kwa biashara zinazokua
Kwa biashara kubwa
Hakuna kadi inayohitajika. Jisajili, unganisha WhatsApp, na uanze kupokea wateja kwa chatbot ya AI.
Jisajili Sasa — Bure